Ancelotti Ateuliwa Kuwa Kocha Wa Timu Ya Taifa Ya Brazil
SHIRIKISHO la soka Nchini Brazil (CBF) limethibitisha kumteua kocha Muitaliano Carlo Ancelotti kuwa kocha mkuu mpya wa Mabingwa hao mara 5 wa kombe la Dunia...
Robert Prevost becomes the first American Pope.
Cardinal Robert Prevost, has been elected as the 267th pope of the Catholic Church, taking the name Pope Leo XIV.
Sudan Yavunja Uhusiano Na UAE
Sudan imetangaza kuwa itavunja uhusiano na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), baada ya jeshi kuituhumu UAE kuunga mkono kikosi pinzani cha Rapid Support Forces...
Nandy Aachana Na Yammy
Nandy amethibitisha ya kuwa Yammy hatokuwa tena msanii wake chini ya Label ya THE AFRICAN PRINCES kwa makubaliano ya Kirafiki baina ya pande mbili ....
Chido Obi Man U youngest ever starter in premier league
Chido Obi made history on Sunday as Manchester United’s youngest-ever starter in a Premier League match — a proud milestone in his rapid rise through...
RAISI RUTO ARUSHIWA KIATU AKIWA ZIARA YA KAZI.
Serikali ya Kenya imeelezea tukio la kurushiwa kiatu kwa Rais William Ruto kama la “aibu” na lisilokubalika, wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika Jumapili. Video...