
Msemaji wa Yanga anayetumikia kifungo cha miaka miwili nje ya soka Haji Manara amefunga ndoa kwa mara ya tatu na msaidizi wake ( personal assistant ) Bi. Habibaty
Msemaji wa klabu ya Yanga, Haji Manara leo ameongeza mke mwingine wa 3 ambaye siku chache zilizopita alimtambulisha kama msaidizi wake (personal assistant) Bi. Habibaty
Kama ulidhani hat-trick ni kwenye soka tu basi umechelewa, Manara ambaye anatumikia kifungo cha miaka miwili nje ya soka amepiga hat-trick ya ndoa.


