Mh. Isaac Matolo Ashinda Tuzo La MCA Bora TaitaTaveta

Share this story

M.C.A wa kata ya Jipe Isaac Matolo achukua tuzo la MCA bora kaunti ya Taita Taveta.

Katika Tuzo hilo la Starleaders Award lilimjumuisha MCA huyo kuwa namba 15 nchini nzima kati ya MCA wachapa kazi kulingana na utafiti


Share this story

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Previous post Mwigizaji Tesa wa Huba Afariki Dunia.
Next post Taifa Stars Yapoteza Mechi ya Kufuzu CHAN 2025 Dhidi ya Sudan