MFAHAMU MWALIMU HOBSON KIDEGHO ALIYEJITOLEA KUANDIKA HISTORIA YA WASAGALA AKIWA NA MIAKA 84

Share this story

Baada ya kustaafu mwaka wa 1992, mwalimu Kidegho aliamua kujitolea kuandika kitambu kinachoelezea historia ya wasagala. Kitamb hicho kilicho kilichapishwa kwa kimombo “The History and Culture of Wasagala”. Hii ikiwa ni mchango wake kusaidia kuhifadhi utamaduni wa jamii ya Wasagala na Wataita.

Ilimchukua miaka 25 kufanya utafiti ili kuweza kuandika kitabu hicho cha kurasa 120.

Ili kusoma zaidi fungua hii link


Share this story

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Previous post SHEREHE ZA WATOTO ZANOGA MJINI TAVETA MSIMU HUU WA CHRISTMAS-SCALLY CREATION
Next post 𝐊𝐀𝐁𝐈𝐋𝐀 𝐋𝐀 𝐖𝐀𝐒𝐀𝐆𝐀𝐋𝐋𝐀 𝐍𝐀 𝐖𝐀𝐒𝐀𝐆𝐀𝐑𝐀. 𝐇𝐀𝐘𝐀 𝐇𝐀𝐏𝐀 𝐌𝐀𝐄𝐋𝐄𝐙𝐎 𝐊𝐀𝐌𝐈𝐋𝐈