MASHABIKI WAMSHUSHIA SHUSHO MATUSI KISA MARTHA MWAIPAJA

Share this story

Mashabiki wameonesha kuchukizwa na kitendo cha Christina shusho kumpandisha mazabauni Martha mwaipaja kabla hajamaliza tofauti na mama yake mzazi, wamchamba kisawasawa.

Mwimbaji mashuhuri wa nyimbo za Injili Tanzania, Martha Mwaipaja, amekabiliwa na shutuma baada ya dadake, Beatrice Mwaipaja, kumshutumu kwa kutoijali familia yao licha ya mafanikio yake.

Beatrice alidai kwamba wakati Martha akifurahia maisha ya kifahari na kuwasaidia wageni kwa ukarimu, ameshindwa kuonyesha upendo huo kwa familia yake. Alifichua kuwa mhanga mkubwa wa hali hiyo ni mama yao anayeteseka, huku binti yake akiwaokoa wengine.

“Martha anaweza kusaidia wengine lakini si mamake,” Beatrice alilalamika.


Share this story

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Previous post KCSE results set for release in two weeks
Next post Kisii Senator Richard Onyonka has declined William Ruto’s invitation to the State New Year’s Eve Dinner at Kisii State Lodge