MAREKANI : MSALABA WA PEPPERDINE AUKUGUSWA NA MOTO

Share this story

Msalaba maarufu ulioko kwenye kilima katika Chuo Kikuu cha Pepperdine, Malibu, California, ulibaki bila kuguswa kabisa baada ya moto wa Franklin uliotokea Desemba 11, 2024.

Msalaba huu mweupe, unaopendwa sana na wanafunzi wa Pepperdine na wageni, sasa umekuwa alama ya uimara na matumaini katikati ya maafa, unaambiwa watu wengi mitandaoni wanausisha janga ili la moto Marekani na asira za Mungu, maoni ya walio wengi wanasema Mungu kakasirishwa na maovu na zambi zakila aina zinazofanywa na wamarekani nasasa kaamua kuwapa azabu.

ikumbukwe leo marekani kumeripotiwa uwepo wa tetemeko la ardhi ambalo pia limesababisha maafa mengine.


Share this story

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Previous post President Ruto attends AU agriculture summit in Kampala
Next post Martha Karua announces 2027 presidential bid