Jeshi la Burkina Faso limesema limemuondoa madarakani Rais Kabore, kusimamisha katiba, kuvunja serikali na kufunga mipaka.

Share this story

Jeshi la Burkina Faso limechukua uskani wa nchi siku ya Jumatatu, na kumuondoa madarakani Rais Roch Kabore, kuvunja serikali na bunge, kusimamisha katiba na kufunga mipaka yake.

Mapinduzi hayo yalitangazwa kwenye televisheni ya taifa na Kapteni Sidsore Kader Ouedraogo, ambaye alisema jeshi limenyakua mamlaka katika kukabiliana na ‘udhalilishaji unaoendelea wa hali ya usalama’ nchini humo na serikali kutokuwa na uwezo wa kuunganisha watu.


Share this story

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Previous post Takriban watu 6 wamefariki katika mkanyagano jioni ya leo nje ya uwanja wa mchezo kati ya Cameroon na Comoros.
Next post Omanyala, Faith Chepng’etich Kipyegon washinda tuzo za wanariadha bora mwaka wa 2021