
Hatimaye Mbosso Akutana Na Aslay Baada Ya Miaka 8
Staa wa muziki Mbosso ameweka wazi kuwa ni takribani miaka 8 imepita hajawahi kuona ana kwa ana na msanii mwezake Aslay ambaye walikuwa wakiunda kundi moja la Yamoto bend tangu waachane mwaka 2017.
Ameandika hivi.. ” Imagine Mara ya Mwisho Tumekutana ni Mwaka 2017 na Tumekuwa Tukiwasiliana bila Kuonana ..

Baada ya Miaka Takribani 8 Jana ndo Tumekutana tena na Kwa Bahati Mbaya tu Kila Mtu akiwa Kwenye Mihangaiko Yake yakwenda kutafuta rizki …
