Hasara kwa wankijiji wa ππππ, kaunti ya TaitaTππ―πππ baada ya mafuriko
Mvua nyingi ilionyesha eneo la Taveta limesababisha mafuriko katika kijiji cha Mata, kaunti ya TaitaTaveta.
Mbunge wa eneo la Taveta John bwire akishirikiana na maafisa wa Msalaba Mwekundu walitembelea waathiriwa wa mafuriko Kijiji Cha Mata baada ya mvua kali kunyesha eneo hilo. Mbunge huyo akishirikiana na shirika la msalaba mwekundu waliweza kutoa mchango wao kwa wanakijiji walioadhirika na kuahidi kushirikiana na serikali ya kaunti ili waweze kubadilisha mkondo wa maji ambao umekuwa ukisababisha mafuriko kwa wakaazi wa eneo hilo.
“Tulikubaliana kushirikianana serikali kubadilisha mkondo wa maji kupunguza mafuriko Mata. Niliweza kuwapa Kila muathiriwa shilingi 5,000 Kwa ajili ya kununua mattress na chakula kiasi” Mh.Bwire