Harmonize ametangaza kuwa katika show yake itakayofanyika Uganda, kama kuna msanii mkorofi mwenye nia ya kuharibu show yake watakutana.
“Kama kuna msanii wenu mkorofi mwambie kabisa atapigwa.. nakamata napiga vibao show itafanyika then tutakutana Police.”Harmonize.