Finali Ya Wakili Bwire Tournament Jumanne
Hatimaye tournament ya wakili Bwire Msimu wa 2024 itafikia mwisho pale msindi atapatikana kati ya Chala FC na Majengo FC.
Mechi zitaanza kwa kutafuta mshindi wa tamu Kati ya Green flames dhidi ya Lumi FC alafu baadae finali ya kufunga mwaka Kati ya Chala FC na Majengo FC, Yote haya yatafanyika katika uwanja wa Chala kwa Udhamini wa Mheshimiwa Mbunge Wa Taveta Hon. John Bwire.