
DIAMOND PLATNUMZ APONGEZA HARMONIZE KUSHINDA TUZO TATU
Baada ya utambulsho wa Msani Mpya #wasafi staa Muziki #Diamondplatnumz Amefunguka kuwa Anafurahi kuona Wasani Ambao walikuwepo kwenye mikono yake Wanafanya vizuri na Ambao wametoka kwenye mikono yake huko Akiwatolea Mfano #Harmonize na RAYVANY.
Sipendi kujiona mm peke Yangu tu kwenye Sanaa kila kitu nafanya mimi leo Hii Tunaona Rayvanny Yupo anawania Grammy #Harmonize Ameshinda Tuzo Tatu wote hao wametoka kwenye mikono Yangu Najivunia DIAMOND PLATNUMZ