Diamond Platnumz ameuwasilisha rasmi wimbo wake ka Tuzo za Grammy
Diamond Platnumz ameuwasilisha rasmi wimbo wake wa “Komasava” Recording Academy ambao huandaa Tuzo za muziki duniani za Grammy kwenye vipengele 2 tofauti.
Komasava umewasilishwa kwenye kipengele cha “Best Music Video” na “Best African Performance”
Hivyo basi unaweza kupiga kura yako kwa Diamond kwa kumchagua kumwezesha kushinda Tuzo hilo.