B Classic Arejea Na Melody Ya Tipsy – “I Like It”
Msanii B Classic amerudi tena na ngoma mpya ya "I Like It" wakati huu akiwa tipsy na melody za mapenzi. Hii ni baada ya kupotea...
MWANAJESHI WA KDF ALIYEFARIKI BAADA YA GARI LAO KUKANYAGA KILIPUZI GARISA AZIKWA NYUMBANI KWAKE MWATATE
Mwili wa mwanajeshi wa KDF aliyefariki baada ya gari lao kukanyaga kilipuzi eneo la Garissa amezikwa nyumbani kwake Mwatate kaunti ya TaitaTaveta. Mkasa huo uliotokea...
Shule Ya Upili Ya St. Johns Mghange Yapokea Hundi Ya Shilingi Laki Nne Chini Ya Ufadhili Wa Wakujaa Foundation
St. Johns Mghange wapokea hundi ya shilingi laki nne chini ya ufadhili wa Wakujaa Foundation, hafla iliyoongozwa na Balozi wa taifa la Uchina hapa nchini...
Raila Aikosoa Serikali Ya Ruto Kuhusu Kufukuzwa Kwa Watu 3,000 Mjini Voi.
Kinara wa Azimio Raila Odinga ameikosoa serikali kuhusu kufurushwa kwa watu 3,000 kutoka eneo la Msambweni kaunti ya Taita Taveta iliyotokea mapema Jumamosi asubuhi. Takriban...
Taita Dance and cultural practices. Performed during #utamaduni Day in Kenya
https://youtu.be/3WaeIK1kq8I
Mwaniaji wa Ubunge wa Kata ya Chaani, Kaunti ya Mombasa kupitia tiketi ya UDA, aaga dunia kwa ajali ya barabara mjini Voi
Nancy Wanjala Mwashuma, ambaye pia ni mgombea ubunge wa kata ya Chaani, katika kaunti ya Mombasa, alianga dunia kupitia ajali mjini Voi alipokuwa akienda nyumbani...