TTC County Launch 18M Countywide ECDE Feeding Programme
TaitaTaveta deputy governor, Christine Saru Kilalo, has today launched this year's county ECDE feeding programme to benefit over 12,000 learners spread across 321 learning institutions...
Afisa wa kaunti ya Taita Taveta akamatwa kwa madai ya ubadhirifu
Afisa mkuu wa kaunti ya Taita Taveta amekamatwa na maafisa wa upelelezi wa EACC. Duru za kuaminika zinasema mshukiwa huyo anasindikizwa hadi katika Afisi ya...
Mtoto Ametelekezwa Katika Kituo Cha Soko Huko Taveta
Mapema Alhamisi asubuhi mtoto mchanga alipatikana akiwa ametelekezwa katika kituo cha Soko la Njukini eneo bunge la Taveta. Mtoto huyo wa kike, ambaye umri wake...
Raila Aikosoa Serikali Ya Ruto Kuhusu Kufukuzwa Kwa Watu 3,000 Mjini Voi.
Kinara wa Azimio Raila Odinga ameikosoa serikali kuhusu kufurushwa kwa watu 3,000 kutoka eneo la Msambweni kaunti ya Taita Taveta iliyotokea mapema Jumamosi asubuhi. Takriban...
TAITATAVETA : MAWAZIRI WATIA SAINI MKATABA WA UTENDAKAZI
Mawaziri kutoka wizara zote Kaunti ya TaitaTaveta hii leo wametia Saini mkataba wa utendakazi,kwenye hafla ilioongozwa na Governor Andrew Mwadime - Wakujaa na naibu wake...
Soko la zamani Mwatate na Wenyeji wa Kariobangi kufaidika na mradi wa kuinua hadhi ya mitaa ya mabanda
Wenyeji wa Kariobangi pamoja na soko ya zamani mjini Mwatate ambao wananuiwa kufaidika na mradi wa kuinua hadhi ya mitaa ya mabanda(Kenya informal settlement improvement...