Mwanasiasa wa Mombasa, ambaye pia ni mgombea ubunge wa eneo la Mvita , Ali Mwatsau, ashambuliwa na risasi
Mwanasiasa wa Mombasa, ambaye pia ni mgombea ubunge wa eneo la Mvita , Ali Mwatsau, ashambuliwa na risasi katika eneo la Tudor, Mombasa. Mwanasiasa huyo...
Gavana Wa TaitaTaveta Granton Samboja Atoroka Chama Cha Wiper Na Kujiunga Na Jubilee
Gavana wa TaitaTaveta County hapo jana aliondoka chama cha Wiper na kujiunga na chama cha Jubilee. Hapo awali Samboja alionyesha dalili ya kujiunga na chama...
Vijana Kufaidika Baada Ya Serikali ya Kaunti ya Mombasa Kutia Saini Mkataba Wa Maelewano (MoU) na Mpango wa Kizazi Kenya (GPK)
Serikali ya Kaunti ya Mombasa kupitia Idara ya Elimu na ICT leo imetia saini Mkataba wa Maelewano (MoU) na Mpango wa Kizazi Kenya (GPK) Ushirikiano...
180 Students Graduate With Certificate & Diploma in ECDE, P1 Certificate and Diploma Under Johnes Mwaruma Foundation
180 students graduated on 19th March with certificates, diploma in ECDE1 and P1 at a graduation ceremony that was held at Mwanyambo primary School in...
INFOTRAK: Mbunge Nassir Ndiye Mwaniaji Wa Ugavana Mombasa Anayependekezwa Zaidi Kushinda Omar na Shabaal
Hon. Nassir, Abdullswamad Sheriff ndiye mwaniaji wa ugavana anayependekezwa zaidi na wananchi wa Mombasa kulingana na utafiti uliofanywa na shirika la infotrak. Utafiti huo uliofanywa...
INFOTRAK: Kinara Wa ODM Raila Odinga Ndiye Mgombea Wa Uraisi Anayependekezwa Zaidi Kauti Ya Mombasa
Utafiti uliofanywa na Shirika la utafiti la Infotrak kati ya siku ya tarehe 9 -12 Machi, ulionyesha ya kuwa Kinara wa ODM Raila Odinga ndiye...