Wagonjwa Wateseka Mombasa Huku Mgomo Wa Madaktari Ukiingia Siku Ya Pili
Madaktari katika kaunti ya Mombasa waliungana na madaktari wengine kote nchini katika mgomo baada ya serikali kukosa kutimiza matakwa yao. Akizungumza katika mkutano na waandishi...
𝐃𝐀𝐕𝐈𝐃 𝐖𝐀𝐍𝐘𝐀𝐌𝐀, 𝐁𝐄𝐊𝐈 𝐂𝐇𝐈𝐏𝐔𝐊𝐈𝐙𝐈, 𝐀𝐌𝐄𝐉𝐈𝐔𝐍𝐆𝐀 𝐍𝐀 𝐊𝐈𝐊𝐎𝐒𝐈 𝐂𝐇𝐀 𝐊𝐖𝐀𝐍𝐙𝐀 CHA BANDARI
David Wanyama, mwenye umri wa miaka 16, amepandishwa cheo kutoka Bandari Youth FC., na kujiunga na kikosi cha kwanza cha timu ya Bandari.
Mwanahabari wa Mombasa, Fatma Rajab, Afariki Dunia
Mwanahabari wa Mombasa Fatma Rajab, mwenye umri wa miaka 27 amefariki dunia baada ya kuugua. Mwanahabari huyo alikuwa amepelekwa katika chumba cha wagonjwa mahututi cha...
MAAFISA WA KIJASUSI WAWAKATAI VIJANA WA KUNDI LA UHALIFU MOMBASA.
Kufuatia operesheni inayoongozwa na maafisa wa kijasusi katika Kituo Kikuu cha Polisi cha Mombasa, wamefanikiwa kuwakamata watu watano wanaoshukiwa kuwa wanachama wa kundi la uhalifu...
Daraja La Mbogolo, Barabara Kuu Ya Mombasa Malindi Lasombwa Na Mafuriko.
Barabara kuu ya Mombasa Malindi kwa sasa haipitiki baada ya sehemu ya daraja la Mbogolo kusombwa na mafuriko Jumamosi asubuhi. Barabara hiyo ilikatika kabisa baada...
Governor Nassir : Flooding in Mombasa not due to drainage
Mombasa Governor Abdullswamad Nassir has dismissed reports that the flooding being experienced in parts of the county is due to poor drainage system Speaking on...