Mbunge wa Khwisero, Christopher Acheka, amtenga Musalia Mudavadi na na Kujiunga na Raila Odinga.
Mbunge wa Khwisero Christopher Aseka ambaye ni mwanachama wa ANC amemwacha Musalia Mudavadi na chama chake na kujiunga na Raila Odinga baada ya tangazo lake...
Mwanahabari Hussein Mohammed ameteulia Mkuu wa Mawasiliano katika Kampeni ya Urais ya William Ruto.
Aliyekuwa mtangazaji wa kituo cha runinga cha Citizen Hussein Mohammed ameteuliwa kuwa Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano katika Kampeni ya Urais ya Naibu Rais William...
Mbunge wa Starehe Charles Njagua Kanyi almarufu kama Jaguar ajiunga na UDA ya Ruto
Mbunge wa Starehe, Charles Njagua Kanyi, almaarufu, Jaguar, amejiunga na chama cha United Democratic Alliance (UDA). Taarifa za mbunge huyo za kujiunga na chama za...
DP Ruto Awasili katika hafla ya Mudavadi Bomas
Naibu Rais William Ruto amewasili katika hafla ya kiongozi wa Amani National Congress (ANC) Musalia Mudavadi iliyofanyika Bomas of Kenya katika eneo la Lang'ata Nairobi....
Moi, Jimi Wanjigi na Kalonzo watoka kwa mkutano wa wajumbe wa chama cha ANC
Mfanyibiashara Jimi Wanjigi, Seneta Gideon Moi, kiongozi wa Wiper Kalonzo Musyoka walionekana wakitoka nje ya chumba cha mkutano kwa nguvu. Washirika wa Ruto pia walionekana...
Raila atishia kujiondoa kwenye kinyang’anyiro cha urais
Kiongozi wa Orange Democratic Movement (ODM), anayewania kiti cha uraisi kupitia muungano wa umoja, Raila Odinga, amewaeleza wafuasi wake kuwa huenda akaachana na azma yake...