Raila, Ruto Takes Campaign to Mt Kenya in a Vote Hunt Mission
Hon. Raila Amolo Odinga was today in Murang'a in a bid to lure voters to vote for him in August poll. Raila took his Azimio...
Chama cha UDA Chapunguza Ada za Uteuzi
Cha Umoja wa Kidemokrasia Alliance (UDA), kimekata ada za uteuzi kwa asilimia 50 kwa wanawake na vijana wanaotafuta viti vya kuchaguliwa. Mwenyekiti wa Bodi ya...
Uhuru Atia Saini Mswada Wa Marekebisho Ya Vyama Vya Kisiasa
Rais Uhur Kenyatta ametia saini mswada wa marekebisho ya vyama vya kisiasa. Raisi aliweka saini mswada huo siku ta Alhamisi, Januari 27 Rais aliongeza saini...
Mbunge wa Khwisero, Christopher Acheka, amtenga Musalia Mudavadi na na Kujiunga na Raila Odinga.
Mbunge wa Khwisero Christopher Aseka ambaye ni mwanachama wa ANC amemwacha Musalia Mudavadi na chama chake na kujiunga na Raila Odinga baada ya tangazo lake...
Mwanahabari Hussein Mohammed ameteulia Mkuu wa Mawasiliano katika Kampeni ya Urais ya William Ruto.
Aliyekuwa mtangazaji wa kituo cha runinga cha Citizen Hussein Mohammed ameteuliwa kuwa Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano katika Kampeni ya Urais ya Naibu Rais William...
Mbunge wa Starehe Charles Njagua Kanyi almarufu kama Jaguar ajiunga na UDA ya Ruto
Mbunge wa Starehe, Charles Njagua Kanyi, almaarufu, Jaguar, amejiunga na chama cha United Democratic Alliance (UDA). Taarifa za mbunge huyo za kujiunga na chama za...