Kalonzo azuiwa kuandaa mkutano wa umma mjini Mombasa
Nyufa zinazidi kujitokeza katika muungano wa Azimio La Umoja One Kenya aliance baada ya serikali ya Mombasa kumnyima Kalonzo Musyoka kufanya mkutano wa umma kwa...
Kesi ya kupiga Sonko kuwania kiti cha ugavana Mombasa yaanza leo
Kesi iliyowakilishwa kwa koti ya Mombasa na wakaazi wawili, Ndoro Kayuga na George Odhiambo, kupitia wakili wao Willis Oluga, ya kupiga azma ya aliyekuwa gavana...
Aliyekuwa Gavana wa Nairobi, Mike Mbuvi Sonko ajiunga na kinyang’anyiro cha ugavana Mombasa kupitia tiketi ya Wiper
Mwanasiasa mahiri na aliyekuwa gavana wa Nairobi Mike Mbuvi Sonko, ametangaza rasmi kujiunga na siasa za kumrithi Hassan Joho kama gavana wa pili wa Mombasa...
Kura ya mchujo wa ODM mjini Mombasa wakumbwa na ghasia
Ghasia na machafuko ya kisiasa ulikikumba chama cha ODM hapo jana mjini Mombasa wakati kikifanya mchujo wa wanachama wake watakao peperusha tikiti mwezi wa August....
Mwanasiasa wa Mombasa, ambaye pia ni mgombea ubunge wa eneo la Mvita , Ali Mwatsau, ashambuliwa na risasi
Mwanasiasa wa Mombasa, ambaye pia ni mgombea ubunge wa eneo la Mvita , Ali Mwatsau, ashambuliwa na risasi katika eneo la Tudor, Mombasa. Mwanasiasa huyo...
Gavana Wa TaitaTaveta Granton Samboja Atoroka Chama Cha Wiper Na Kujiunga Na Jubilee
Gavana wa TaitaTaveta County hapo jana aliondoka chama cha Wiper na kujiunga na chama cha Jubilee. Hapo awali Samboja alionyesha dalili ya kujiunga na chama...