Nassir amchagua Mwanahabari Francis Thoya kama mgombea mwenza
Mgombea wa ugavana Mombasa kwatikiti ya ODM Abdulswamad Nassir amemtambulisha aliyekuwa mwanahabari wa Nation Francis Thoya kuwa mgombea mwenza katika kinyang'anyiro cha ugavana Thoya alihudumu...
Kalonzo Apeleka Kampeni Za Wiper Eneo La Taveta, Amshika Mkono Wakili Bwire
Mh. Kalonzo Musyoka na kikosi cha Wiper party, hapo jana kilipeleka kampeni za wiper mjini Taveta. Chama cha Wiper kinawania kushinda viti vya siasa eneo...
Alichokisema Mh. Raila Odinga kuhusu Gavana Kingi katika ziara yake ya kampeni Kilifi
https://youtu.be/AHo9t4Urz40
Kalonzo azuiwa kuandaa mkutano wa umma mjini Mombasa
Nyufa zinazidi kujitokeza katika muungano wa Azimio La Umoja One Kenya aliance baada ya serikali ya Mombasa kumnyima Kalonzo Musyoka kufanya mkutano wa umma kwa...
Kesi ya kupiga Sonko kuwania kiti cha ugavana Mombasa yaanza leo
Kesi iliyowakilishwa kwa koti ya Mombasa na wakaazi wawili, Ndoro Kayuga na George Odhiambo, kupitia wakili wao Willis Oluga, ya kupiga azma ya aliyekuwa gavana...
Aliyekuwa Gavana wa Nairobi, Mike Mbuvi Sonko ajiunga na kinyang’anyiro cha ugavana Mombasa kupitia tiketi ya Wiper
Mwanasiasa mahiri na aliyekuwa gavana wa Nairobi Mike Mbuvi Sonko, ametangaza rasmi kujiunga na siasa za kumrithi Hassan Joho kama gavana wa pili wa Mombasa...