Mbunge wa Taveta, Daktari Naomi Shabani akutana na wakazi wa Nairobi kuwarai kumpa kura mwezi wa Agosti
Mbunge wa Taveta, Dr Naomi Shaban, alikutana na wapiga kura wa Taveta wanaoishi Nairobi siku ya Jumapili, tarehe 30, katika harakati zake za kuwarai wampe...
Mgombea ugavana Kilifi kwa tikiti ya Ford Kenya, Michael Tinga, ajiondoa kwenye kinyang’anyiro akimuunga mkono Walili Geroge Kithi
Mgombea wa kiti cha ugavana Kaunti ya Kilifi George Kithi alipata msukumo mkubwa baada ya Micheal Tinga wa Ford Kenya kujiondoa kwenye kinyang'anyiro na kumuunga...
Charity Kaluki NgiluĀ ajiondoa kwa kinyang’anyiro cha ugavana katika kaunti ya Kitui
Gavana wa Kitui Charity Ngilu hatatetea kiti chake katika Uchaguzi Mkuu ujao wa Agosti 9. Uamuzi wa Ngilu kujiondoa katika kinyang'anyiro cha ugavana uliwekwa wazi...
Msanii Mlole Classic Amfanyia Mh.Naomi Shabani Wimbo Wa Kampeni
https://youtu.be/rTnhs2ERXu0
Mwakilishi wa wanawake wa kilifi, Getrude Mbeyu akiri kushindwa katika miradi ya maendeleo
Mwakiliishi wa wanawake kaunti ya kilifi amekiri kushindwa na miradi ya maendeleo baada ya kukabiliana na wapigakura kura wenye hasira. Mbunge huyo alikabiliana na wapiga...
IEBC yaanza zoezi la kuidhinisha wagombea ubunge Taveta mapema leo
Wawaniaji wawili ubunge eneo la Taveta mapema leo waliwakilisha vyeti vyao kwa ofisi za iebc. Leo ilikuwa zamu ya Wakili John Bwire na mshindani wake...