Harry Maguire: Beki wa Manchester United avuliwa unahodha wa klabu
Beki wa Manchester United Harry Maguire ambaye amekuwa nahodha wa timu hiyo kwa Zaidi ya miaka mitatu amedhibitisha kupokonywa kitambaa cha unahodha katika mabadiliko mapya...
Kaunti ya TaitaTaveta kutumia Shilingi milioni 50 kusaidia uzalishaji wa mpunga
Wakulima wa mpunga huko Buruma kaunti ya Taita Taveta wana sababu ya kutabasamu baada ya serikali ya kaunti kufichua mipango ya kuwekeza kwa ukulima wa...
Viwango vya UEFA Ligi 8 bora Duniani 2022-23
Ligi kuu ya Ufaransa, Ligue 1 imetolewa kwenye ligi bora 5 barani ulaya. UEFA wametoa viwango vipya vya ligi bora barani Ulaya. Viwango hivyo vimepatikana...
Jaji Amwachilia Mke wa Mchungaji Paul Mackenzie, Rhoda Mumbua,
Mkewe Mchungaji Paul Mackenzie, Rhoda Mumbua, aliachiliwa Jumatatu, Julai 3, kwa bondi ya Ksh100,000.Jaji Kiongozi Yusuf Shikanda pia alimpa Mumbua bondi mbadala ya Ksh300,000 kwa...
Wakaazi kadhaa waliripoti kujeruhiwa baada ya jengo la ghorofa kuporomoka katika eneo la Marikiti mjini Mombasa.
Jengo moja katika eneo la Marikiti kaunti ya Mombasa liliporomoka mnamo Jumamosi, Mei 27, baada ya kupata nyufa.Taarifa zilieleza kuwa wakazi kadhaa walijeruhiwa na kukimbizwa...
Kijana wa miaka 9 Mkenya Aymen Onyango anajiunga na wababe wa EPL Manchester City
Aliekuwa Mchezaji wa Kimataifa wa Raga wa Kenya, Lucas Onyango, amekuwa Baba mwenye furaha baada ya Mtoto wake Aymen Onyango kusajiliwa na Klabu ya Manchester...