RASHIDABDALLA SUPERCUP : GREEN BOYS YAFUZU KWENYE MICHUANO YA ROBO FAINALI BAADA YA KUICHAKAZA KWALE UNITED
Timu ya Green boys kutoka maeneo ya Mwananyamala leo alasiri imeweza kuichakaza Kwale United kutoka Kwale mjini baada ya kuitandika mabao 3 -1 bila huruma...
Raia wa Chad ambaye aliyemlaghai Seneta wa Tana River, Danson Mungatana, Shilingi Milioni 76 katika dili ghushi ya mafuta ameondolewa mashtaka.
Seneta wa Tana River Danson Mungatana apoteza ombi la kumtaka, Chadian Abdoulaye Tamba kufungwa jela kwa kumlaghai Ksh 76M. Mahakama imemwachilia huru raia wa Chad...
PICHA : MKE WA RONALDO AWATOA UDENDA VIJEBA MITANDAONI
Mke wa Ronaldo awatoa udenda mafans mtandaoni baada ya kuvaa jezi za timu ya mume wake ya Al Nassr na kupendeza kupita kiasi kutokana na...
EACC Yaagiza Kusimamishwa Kwa Zabuni ya Mfumo Mpywa Wa Mapato Kilifi
Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi (EACC) imeagiza Serikali ya Kaunti ya Kilifi kusimamisha malipo yaliyopangwa ya Sh103.8 milioni kwa ununuzi wa mfumo wa...