Mary Wanyonyi aapishwa katika tume ya ugavi wa raslimali.
Mary Wanyonyi alikula kiapo cha kazi mbele ya Jaji Mkuu Martha Kome katika mahakama ya upeo, Wanyonyi, kama mwenye kiti katika tume ya ugavi wa...
Ombaomba tajiri zaidi duniani Bharat Jain ana thamani ya Sh184,405,062.40.
Mwanaume mmoja huko nchini India, Bharat Jain, amejipatia dola 890,708 kwa kuhangaika mitaani. Sasa anaitwa "Ombaomba Tajiri Zaidi Duniani" Licha ya mwanzo wake duni, Bharat...
Harry Maguire: Beki wa Manchester United avuliwa unahodha wa klabu
Beki wa Manchester United Harry Maguire ambaye amekuwa nahodha wa timu hiyo kwa Zaidi ya miaka mitatu amedhibitisha kupokonywa kitambaa cha unahodha katika mabadiliko mapya...
Kaunti ya TaitaTaveta kutumia Shilingi milioni 50 kusaidia uzalishaji wa mpunga
Wakulima wa mpunga huko Buruma kaunti ya Taita Taveta wana sababu ya kutabasamu baada ya serikali ya kaunti kufichua mipango ya kuwekeza kwa ukulima wa...
Viwango vya UEFA Ligi 8 bora Duniani 2022-23
Ligi kuu ya Ufaransa, Ligue 1 imetolewa kwenye ligi bora 5 barani ulaya. UEFA wametoa viwango vipya vya ligi bora barani Ulaya. Viwango hivyo vimepatikana...
Jaji Amwachilia Mke wa Mchungaji Paul Mackenzie, Rhoda Mumbua,
Mkewe Mchungaji Paul Mackenzie, Rhoda Mumbua, aliachiliwa Jumatatu, Julai 3, kwa bondi ya Ksh100,000.Jaji Kiongozi Yusuf Shikanda pia alimpa Mumbua bondi mbadala ya Ksh300,000 kwa...