Julian Alvarez ajiunga na Atletico Madrid
Mshambulizi wa Manchester City Julian Alvarez amesajiliwa na klabu ya Atletico Madrid kwa mkataba wa miaka sita kwa thamani ya pesa kiasi cha £81.5 milioni....
Aaron Wan-Bissaka ajiunga na West Ham
West Ham wamemsajili mlinzi wa Manchester United Aaron Wan-Bissaka kwa kitita cha pesa £15 milioni kwa mkataba wa miaka saba. Mlinzi huyo mwenye umri wa...
Cheruiyot na Komen kurejesha nyota ya Kenya kwenye mita 1500
Timothy Cheruiyot na Brian Komen wako mbioni leo Jumanne usiku wataingia uwanjani kwenye fainali ya mita 1,500 kwa wanaume katika Olimpiki ya Paris 2024. Wawili...
4-time Olympian Julius Yego advances to the Paris Olympic finals
Kenya’s Julius Yego qualified for the finals of the men’s javelin at the Paris Olympics after finishing second in the qualification round on Tuesday morning....
Serem, Kibiwot na Koech wafuzu fainali ya mita 3,000 kuruka viunzi na maji
Amos Serem, Abraham Kibiwot na Simon Koech wamefuzu fainali ya mita 3,000 kuruka viunzi na maji kwenye Olimpiki ya Paris 2024 Jumatatu usiku. Serem nusura...
Noah Lyles ndiye bingwa mpya kwenye mita 100
Noah Lyles wa Marekani ndiye bingwa mpya kwenye mita 100 kwa wanaume katika Olimpiki ya Paris 2024 Jumapili usiku. Lyles alianza vizuri mbio hiyo lakini...