Mjumbe Wa Bandari FC Amjibu Ali Kamwe
Beki wa zamani wa Harambee Stars na mjumbe wa sasa wa bodi ya Bandari FC Ricky Solomon ametoa jibu kwa matamshi ya Ali Kamwe. Akizungumza...
Malkia Strikers Waondolewa katika Ubingwa wa Dunia wa Volleyball baada ya kushindwa na Poland
Malkia Strikers wameondolewa kwenye Mashindano ya Dunia ya Volleyball ya Wanawake kufuatia kichapo cha 3-1 kutoka kwa Poland nchini Thailand Jumatatu hii, Agosti 25, 2025.Kenya...
Harambee Stars captain Abud Omar has responded after a Murang’a Seal player, Victor Haki, celebrated Kenya’s loss
Harambee Stars captain Abud Omar has responded after a Murang’a Seal player, Victor Haki, celebrated Kenya’s loss to Madagascar at Kasarani Stadium. Omar termed the...
Shabiki wa Liverpool Apigwa Marufuku Ya Uwanja Kisa Ubaguzi Wa Rangi
Mwanaume aliyekamatwa kwa tuhuma za kumtolea maneno ya kibaguzi Antoine Semenyo amepigwa marufuku kuingia kwenye viwanja vyote vya soka nchini Uingereza kama sehemu ya masharti...
RASMI : Jack Grealish Atua Everton
Everton wamemtambulisha Jack Grealish kama mchezaji wao mpya akijiunga kwa mkopo hadi mwisho wa msimu huu. Mkataba huo pia unajumuisha kipengele cha kumnunua mchezaji huyo...
Real Madrid Yapinga Vikali Mchezo wa LaLiga Kuchezwa Nje ya Hispania.
Klabu ya Real Madrid CF imetoa tamko rasmi likieleza kupinga vikali pendekezo la kuchezwa kwa mchezo wa raundi ya 17 ya Ligi Kuu ya Hispania...