Mateso Ya Msika Bendera, Rodriguez Moreno
MSHIKA KIBENDERA, Rodriguez Moreno jana aliipata pesa yake kwa mateso sana, hapo sio katika jukwaa la maonesho ya wapiga sarakasi bali hapo ni uwanjani. Ni...
Matasi Kutoshiriki Mpira Siku 90 Baadae Ya Kufungiwa Na FKF
Shirikisho la soka la nchini Kenya (FKF) limemsimamisha Golikipa namba moja wa Taifa hilo na Tusker FC Patrick Matasi kwa muda wa siku 90 kutokushiriki...
Ofa Ya PSG Dhidi ya Yamal Yagonga Mwamba
Paris Saint-Germain (PSG) ilitoa ofa ya €250 milioni kwa ajili ya kutaka kumsajili Lamine Yamal kutoka FC Barcelona, lakini ofa hiyo imekataliwa. Hata hivyo, nyota...
Kesi Dhidi Ya Platini Na Blatter Kuanza Yaendelea
Aliyekuwa rais wa FIFA, Sepp Blatter, na gwiji wa soka wa Ufaransa, Michel Platini, wamefika tena mahakamani nchini Uswisi kujibu mashtaka ya ubadhirifu. Mnamo 2022,...
Arsenal Kumkosa Havertz Msimu Mzima
Arsenal itamkosa mshambuliaji wake Kai Havertz katika mechi zote zilizobakia msimu huu baada ya kupata maumivu ya misuli katika kambi ya timu hiyo inayoendelea Dubai....
Vilabu vya Norway vyapiga kura kufuta VAR
Taarifa kutoka nchini Norway inaeleza kuwa Vilabu vimepiga kura ya kutaka kuiondoa teknolojia ya VAR kutumika katika ligi yao kwa sababu Ina unyonyaji mwingi ndani...