Raila Aikosoa Serikali Ya Ruto Kuhusu Kufukuzwa Kwa Watu 3,000 Mjini Voi.
Kinara wa Azimio Raila Odinga ameikosoa serikali kuhusu kufurushwa kwa watu 3,000 kutoka eneo la Msambweni kaunti ya Taita Taveta iliyotokea mapema Jumamosi asubuhi. Takriban...
MWANAMUZIKI “ZAHARA” ALIYEIMBA LOLIWE AFARIKI DUNIA
Muimbaji maarufu wa Afrika kusini Bulelwa Mkutukana maarufu kama Zahara amefariki Dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu maradhi ya Ini. Zahara ambaye amezaliwa November...
BONGO FLAVA: Director Nisher Afariki Dunia
PICHA | HISANI NISHER ENTERTAINMENT Baada ya kuthibitishwa kuwa Director maarufu wa video mbalimbali ikiwemo za Wasanii wa Bongofleva ambaye pia ni Mtoto wa kwanza...
Tulipe Marupurupu Ya Maisha Magumu, Walimu Wa Chonyi, Kilifi Walalama
Walimu katika Kaunti Ndogo ya Chonyi, Kaunti ya Kilifi wameomba Bunge la Kitaifa kuingilia kati na kuitaka Tume ya Kuajiri Walimu (TSC) kuwalipa marupurupu ya...
MAAFISA WA KIJASUSI WAWAKATAI VIJANA WA KUNDI LA UHALIFU MOMBASA.
Kufuatia operesheni inayoongozwa na maafisa wa kijasusi katika Kituo Kikuu cha Polisi cha Mombasa, wamefanikiwa kuwakamata watu watano wanaoshukiwa kuwa wanachama wa kundi la uhalifu...
Raila Ichongoa Serikali Kuhusu Malipo Ya Vitambulisho
Kiongozi wa Azimio Raila Odinga ameikashifu serikali kwa kuwataka Wakenya kulipa ili kupata vitambulisho vya Kitaifa au kulipia hata zaidi ikiwa utapoteza kitambulisho. Raila alisema...