Wakaazi wa Mombasa Waandamana katika Ofisi ya Mohammed Ali Kupinga Mswada wa Fedha
Wakazi wa Nyali Jumatatu waliandamana nje ya afisi ya Mbunge wa Nyali Mohammed Ali kaunti ya Mombasa.Wakazi hao walikerwa na kutokuwepo kwa Ali huku wabunge...
Kaunti ya Kilifi yazindua kampeni ya afya mashinani
Serikali ya Kaunti ya Kilifi imezindua kampeni kali ya kufikia afya ya msingi inayolenga kupeleka huduma za matibabu mashinani.Wataalamu wa fani mbalimbali za matibabu na...
Watumiaji wa muguka, Miraa ‘kuwatelekeza wake’ huko Pwani
Viongozi wa kidini huko Lamu wamekemea watumiaji wa muguka na miraa kwa kuwatelekeza na kuwadhulumu wake zao.Viongozi hao wamekemea ‘jaba bases’ kwa kuvunjika kwa ndoa,...
Wakenya Waandamana Kupinga Mswada wa Fedha wa 2024
Maelfu ya wakenya mnamo siku ya Alhamisi, Juni 20 waliendelea kukusanyika kufanya maadamano ya amani dhidi ya kupinga mswada wa fedha wa mwaka wa 2024....
Wakazi wa Mombasa waandamana kupinga Mswada wa Fedha 2024
Machafuko na mapigano yalitanda katika mitaa ya Mombasa siku ya Jumatano huku wakazi wakiandamana barabarani kupinga Mswada wa Fedha wa 2024.Waandamanaji hao walikabiliana na maafisa...
Serikali Yatii Wito Wa Wananchi
Hatimaye serikali imesikiliza kilio cha wakenya wengi kuhusu mswada wa ushuru baada ya Kamati ya Bunge la Kitaifa kuhusu Fedha kutangaza msururu wa mabadiliko ya...