Rayvanny ajiondoa kwenye lebo ya WCB, Diamond amshangilia.
Mwimbaji kutoka Tanzania Rayvanny leo ameachana rasmi na lebo ya Diamond Platinumz ya Wasafi baada ya miaka sita. Katika video ya aliyoiweka kwenye mitandao ya...
Msanii Maarufu Wa Bongo Rayvanny Achoma Gari Lake Katika Video Yake Mpya Ya Te Quiero Akimshirikisha Mario
Mwanamziki wa Bongo, Raymond Shaban Mwakyusa, maarufu kwa jina la kisanii Rayvanny, aliteketeza moja ya magari yake wakati akitoa video ya wimbo wake maarufu, Te...
Vanny Boy aweka historia baada ya kuwa Mwafrika wa kwanza kuteuliwa katika tuzo maarufu za Uhispania
Mwimbaji na mtunzi wa nyimbo kutoka Tanzania Raymond Shaban Mwakyusa maarufu kwa jina la Vanny Boy ameweka historia baada ya kuwa Mwafrika wa kwanza kuteuliwa...
RHYNO : HATUWEZI KUTAJA UGONJWA UNAOMSUMBUA PROFESA JAY NI JAMBO LA FARAGHA
Black Rhyno ambaye ni Msemaji wa Familia ya Profesa Jay amesema hawawezi kutaja ugonjwa unaomsumbua Profesa Jay kama wengi wanavyotamani kufahamu kwani ugonjwa ni jambo...
Harmonize amfanya Kajala kuwa CEO na Meneja Wa KondeGang
Msanii Rajab Abdul Kahali almaarufu kama Harmonizeย amefanya marekebisho kwa uongozi wa lebo yake ya muziki ya konde music worldwide ili kumwezesha mpenzi wake Frida...