Manchester United have released a statement after allegations were made against Mason Greenwood.
The club has said they are aware of images circulating on social media but will not comment further at this time. A woman called Harriet...
Cameroon and Burkina Fao Proceed to Semi Finals After Beating Gambia and Tunisia Respectively
Cameroon qualify for semi finals after defeating Gambia in semi finals 2-0. Toko Ekambi scored twice to earn Cameroon a semi final spot over Gambia....
Omanyala, Faith Chepng’etich Kipyegon washinda tuzo za wanariadha bora mwaka wa 2021
Wanariadha Faith Chepng'etich Kipyegon na Fednand Omanyala ndio washindi wa wanariadha bora nchini mwaka wa 2021 kwenye masindano ya Soya yaliyoandaliwa mjini Kakamega. Umaarufu wa...
Arsenal Yapokea Kichapo Cha Liverpool, Yatingwa mabao 2-0
Timu ya Arsenal ilipokea kichapo kutoka kwa timu ya Liverpool baada ya kupigwa mabao mawili kwa sufuri kwenye Ligi ya Soka ya kuwania kombe la...
Timu ya Gambia yaishinda Tunisia dakika za mwisho, Huku Mali wakilemea Mauritania mabao 2 kwa nunge – AFCON
Timu ya Gambia leo imeishinda Tunisia dakika za mwisho, Mechezaji Ablie Jallow aliweza kutinga bao hilo dakika ya tatu ya zaida kipindi cha pili baada...
Riyad Mahrez kurejea Man city baada ya Algeria kuaga AFCON mapema
Mabingwa watetezi wa AFCON walipokea kichapo kutoka kwa timu ya Ivory coast kwa kutandikwa mabao 3-1 na kubanduliwa kwa mashindano ya AFCON. Ushindi dhidi ya...