ISAK ATANGAZA KUHITIMISHA SAFARI YAKE NEWCASTLE
Alexander Isak amethibitisha kuwa hatavaa tena jezi ya Newcastle United. Hata kama dirisha la usajili litafungwa bila yeye kuondoka, nyota huyo wa Sweden anaona muda...
Tottenham waanza mazungumzo rasmi kumsajili Savinho kutoka Manchester City
Klabu ya Tottenham Hotspur imeanza mazungumzo ya moja kwa moja na Manchester City kwa ajili ya kumsajili winga chipukizi Savinho. Vyanzo vinaeleza kuwa mazungumzo bado...
MZIZE ANUKIA ESPERANCE
Mzize anaweza kuelekea Tunisia karibuni, hii ni baada ya Esperance de Tunis kutuma ofa mpya ya Tsh 2.4B ($1M) baada ya pendekezo la awali kukataliwa....
RASMI: Endrick atavaa jezi namba katika kikosi cha Real Madrid!
Endrick anayechukuliwa kama miongoni mwa vipaji bora vinavyokuja duniani, sasa atabeba jukumu kubwa la kuendeleza rekodi ya magwiji waliowahi kuvaa namba hii kwenye Los Blancos....
From the spot to the spotlight! Allan Okello named Man of the Match!
Chuma kinaitwa Allan Okello (25) kiufupi anajua sana mpira, sifa zake ni winga wa kulia asilia ambae anatumia zaidi mguu wa kushoto kuingia ndani. Ni...