MSANII CMB PREZZO KAOKOKA KUJIUNGA NA GOSPEL MUSIQ
Rapa CMB Prezzo amechonga njia mpya ya kuacha muziki wa kilimwengu na kuanza kuimba mzingi wa injili. Rapa huyo mkongwe aliweka maisha yake hadharani kwa...
Beyonce Kutumbuiza Kwenye Kampeni za Mgombea Urais wa Marekani
Mwanamuziki Beyoncé leo Ijumaa anatarajiwa kutumbuiza katika mkutano wa hadhara wa Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris huko Texas ikiwa ni siku 11 kabla...
Idris Elba Afunguka Tena Nia Yake ya Kuja Kuishi Afrika
Mwigizaji nyota wa Filamu, Idris Elba amesema anatarajia kuhamia Afrika katika kipindi cha Miaka 10 ijayo na huenda akaishi katika maeneo ya Zanzibar, Accra nchini...
Zuchu Afunguka Baada ya Kukosa Tuzo ya Mwanamuziki Bora wa Kike
Akiwa kahifadhi tuzo zake mbili kabatini. Ile ya Mtumbuizaji Bora wa Kike na Mwanamuziki Bora wa Kike. Ambazo alizitwaa wikiendi hii lakini hazijafanya ashindwe kuhoji....
MZEE PEMBE AFARIKI DUNIA
Mchekeshaji mkongwe Tanzania Mzee Yusuph Kaimu maarufu kwa jina la "Mzee Pembe" amefariki dunia muda wa alasiri ya leo Oktoba 20, 2024. Taarifa ya kifo...
Diamond Platnumz ameuwasilisha rasmi wimbo wake ka Tuzo za Grammy
Diamond Platnumz ameuwasilisha rasmi wimbo wake wa "Komasava" Recording Academy ambao huandaa Tuzo za muziki duniani za Grammy kwenye vipengele 2 tofauti. Komasava umewasilishwa kwenye...