
B Classic Arejea Na Melody Ya Tipsy – “I Like It”
Msanii B Classic amerudi tena na ngoma mpya ya “I Like It” wakati huu akiwa tipsy na melody za mapenzi.
Hii ni baada ya kupotea kwa game kwa mda hali iliyowaweka wafuasi wake wasiwasi wengine wakidai B Classic kapenda “kubwa kubwa” hawezani na mziki.
Video ya “I Like It” sasa iko kwa youtube channel yake.