INFOTRAK: Kinara Wa ODM Raila Odinga Ndiye Mgombea Wa Uraisi Anayependekezwa Zaidi Kauti Ya Mombasa

Share this story

Utafiti uliofanywa na Shirika la utafiti la Infotrak kati ya siku ya tarehe 9 -12 Machi, ulionyesha ya kuwa Kinara wa ODM Raila Odinga ndiye anayependelewa zaidi kuwa raisi wa 5 wa jamuhuri ya Kenya.

Utafiti huo ulisema kuwa asilimia 52 ya wapiga kura waliosajiliwa katika kaunti ya Mombasa watamchagua Raila Odinga kama raisi wa tano

Naibu wa Raisi William Ruto wa UDA alipata uungwaji mkono wa asilimia 29 huku kiongozi wa Wiper Kalonzo Musyoka aliibuka wa tatu akiwa na asilimia 1 ya waliohojiwa.

Image

Kiongozi wa Chama cha ANC Musalia Mudavadi na Mwenzake wa Safina Jimi Wanjigi walipata ailimia 0.1.

Hata hivyo kura ya maoni ilionyesha kuwa idadi ya wapiga kura ambao hawajaamua ilikuwa juu sana kwa silimia 16

Image
Image

Share this story

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Previous post Kalonzo Lazima Awe Naibu Raisi Asema Mutula Kilonzo Jnr
Next post INFOTRAK: Mbunge Nassir Ndiye Mwaniaji Wa Ugavana Mombasa Anayependekezwa Zaidi Kushinda Omar na Shabaal