Nitarejea kwenye uinjilisti nikistaafu – Raisi Ruto

Share this story

Rais wa Kenya, William Ruto amesema atarejea kwenye kazi yake ya kumtumikia mungu kama mwinjilisti baada ya kumaliza muhula wake wa kuongoza Kenya kama Rais.

“Nitarejea kwenye uinjilisti nitakapomaliza wajibu wangu kama Rais,” Ruto amesema wakati wa ibada katika Kaunti ya Bungoma siku ya Jumapili akidokeza mpango wake baada ya kustaafu.

Rais Ruto alidai kwamba malezi yake yalijikita katika kujifunza na kufundisha neno la Mungu na atalirudia baada ya kuacha urais.


Share this story

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Previous post Mwili Wa Mmiliki – Mombasa Cement Kuchomwa Leo Kulingana na Mila za Kihindi
Next post Liverpool Yaicharaza United Tatu Bila Nyumbani