Takriban watu 6 wamefariki katika mkanyagano jioni ya leo nje ya uwanja wa mchezo kati ya Cameroon na Comoros.

Share this story

Takriban watu 6 wamefariki na wengine wengi kujeruhiwa baada ya kukanyagana nje ya uwanja wakati wa mechi kati ya Cameroon na Comoro kwenye mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika nchini Cameroon.

Kanda za video zilionyesha mashabiki wa soka wakihangaika kupata njia ya kuingia uwanja wa Paul Biya katika kitongoji cha mji mkuu Yaounde. Maafisa wa mechi walinukuliwa wakisema kwamba watu 50,000 hivi walikuwa wakijaribu kuhudhuria ila masharti yalikuwa yamewekwa kudhibiti usambazaji wa virusi vya korona.


Share this story

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Previous post ๐’๐ญ๐ž๐ฉ๐ก๐ž๐ง ๐Œ๐ฐ๐š๐ค๐ž๐ฌ๐ข ๐จ๐ง ๐“๐š๐ข๐ญ๐š๐“๐š๐ฏ๐ž๐ญ๐š ๐‡๐ž๐š๐ฅ๐ญ๐ก ๐’๐ญ๐š๐ญ๐ฎ๐ฌ – ๐‰๐ข๐œ๐ก๐จ ๐‹๐š ๐“๐š๐ข
Next post Jeshi la Burkina Faso limesema limemuondoa madarakani Rais Kabore, kusimamisha katiba, kuvunja serikali na kufunga mipaka.