SHA ilizuia Sh11bn katika madai yanayoshukiwa kuwa ya ulaghai wakati wa mabadiliko ya NHIF
Waziri wa Afya Aden Duale ametetea ufanisi wa Mamlaka ya Afya ya Jamii (SHA), akisema ukosoaji wa umma mara nyingi hupuuza maendeleo yaliyopatikana katika kuimarisha...
Majaji wapya 15 wa Mahakama ya Rufaa waapishwa
Rais William Ruto leo Jumatano ameongoza hafla ya uapisho wa majaji wapya 15 walioteuliwa kujiunga na Mahakama ya Rufaa. Hafla ya kuwaapisha majaji hao ilifanyika...