Wakaazi wa Kilifi wamehimizwa kusalia salama huku upepo mkali na mawimbi makubwa yakihatarisha ufuo
Wakaazi wa kaunti ya Kilifi wametakiwa kuchukua tahadhari kubwa huku upepo mkali na mawimbi makubwa yakitarajiwa kukumba ufuo huo kuanzia wiki hii na hivyo kuibua...