Kenya vs Tanzania Swahili. Presidents Crack Jokes
https://youtu.be/XJ0E7rc17h4
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Tundu Lissu ameachiwa kwa dhamana baada ya kukamatwa Jeshi la Polisi mkoani Arusha
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu na wenzake wameachiwa kwa dhamana na Jeshi la Polisi Mkoani Arusha baada ya kukamatwa kwa tuhuma za kufanya mikusanyiko...
Harambee Stars Beats Qatar In Friendly March. FULL TIME: Qatar 1-2 Kenya
https://www.youtube.com/watch?v=s0CPIJwlAbg
Harambee Stars Yawika Qatar FULL TIME: Qatar 1-2 Kenya
Harambee stars iliilaza wenyeji wa Kombe la Dunia 2022 Qatar mabao 2-1 Alhamisi jioni katika mechi ya kirafiki iliyochezwa katika uwanja wa Al Janoub mjini...
Aliyekuwa gavana Samboja arudi kijijini kusema ‘asante’ kwa kura 5
Aliyekuwa Gavana wa Taita Taveta Granton Samboja amerejea wadi moja Taitataveta kusema asante kwa kura chache alizopata kwenye uchaguzi wa Agosti 9. Imebainika kuwa alipata...
Watu 12 wafariki katika ajali mbaya ya barabarani Voi
Takriban watu 12 wamepoteza maisha katika ajali mbaya ya barabarani iliyohusisha lori aina ya Nissan katika eneo la Ndii huko Voi, Kaunti ya Taita Taveta....