Bondia wa Tanzania, Karim Mandonga “Mtu Kazi”, kupambana dhidi ya Bondia wa Kenya, Denzel Onyango Okoth.
Bondia machachari wa Tanzania, Karim MANDONGA 'Mtu Kazi', anatarajiwa kupanda ulingoni Januari 14,2023 kwenye ukumbi maarufu mjini Nairobi,Kenya wa Tsavo Ballroom KICC, kupambana dhidi ya...