𝐌𝐀𝐏𝐈𝐆𝐎 𝐘𝐀 𝐂𝐇𝐄𝐋𝐒𝐄𝐀 𝐘𝐀𝐄𝐍𝐃𝐄𝐋𝐄𝐀. 𝐍𝐈 𝐏𝐔𝐇!.. 𝐏𝐔𝐇!.. 𝐖𝐀𝐊𝐈𝐏𝐄𝐍𝐃𝐀 𝐖𝐀𝐍𝐀𝐏𝐈𝐆𝐖𝐀, 𝐖𝐀𝐒𝐈𝐏𝐎𝐏𝐄𝐍𝐃𝐀 𝐖𝐀𝐍𝐀𝐏𝐈𝐆𝐖𝐀. 𝐃𝐀𝐊𝐈𝐊𝐀 𝐍𝐈 𝟗𝟎 𝐙𝐀 𝐌𝐀𝐔𝐌𝐈𝐕𝐔.
Kufikia sasa timu ya chelsea imepokea mapigo mengi zaidi kwa ligi kuu kushinda michezo waliyo shinda.
Wameweza kupoteza michezo 3 ikifuatana kufikia sasa.
1-0 dhidi ya Wolves
2-0 dhidi Real Madrid
Ibainike ya kwamba mapigo hayo hajafikia kikomo kwakua wanaenda kupatana na timu ya Real madrid katika awamu ya pili ya robo fainali ya kombe la ligi ya mabingwa baada ya kucharazwa awamu ya kwanza.