Viongozi wa UDA Taveta waongoza sherehe ya kusherekea ushindi wa Ruto
Viongozi wa UDA na mashabiki wa muungano wa UDA siku ya leo tarehe 17 mosi, waliongoza sherehe ya kusherekea ushindi wa Wiliam Ruto kama raisi wa jamuhuri ya Kenya.
Viongozi hao waliongoza wananchi katika sherehe ya kukata keki kwa niaba ya raisi william ruto.
Baadhi ya waliokuweko ni aliyekuwa gavana wa TaitaTaveta John mrutu, aliyekuwa mgombea wa usenata kupitia chama huru, Mike Banton, mgombea wa ubunge kupitia chama cha UDA Didas Mzirai na viongozi wengine.
Sherehe hiyo ilifanyika mjini Taveta