Trust Bank yatoa pedi za hedhi zinazoweza kutumika tena kwa wasichana wa shule ya Kilifi
Zaidi ya wasichana 1,100 wa shule katika Kaunti ya Kilifi watafaidika na bidhaa bora za afya ya hedhi zinazotolewa na Benki ya Diamond Trust.
Mchango huo ni kwa hisani ya mpango maarufu wa #AchieveMoreGirl uliozinduliwa Jumatano, Oktoba 11.
Ni kilele cha juhudi za nchi nzima ambazo zimesababisha wasichana zaidi ya 5,000 wa shule katika kaunti za Narok, Homa Bay na Nyandarua wameza kupokea vifaa vya hedhi vinavyoweza kutumika tena