Truphena Muthoni amevunja rekodi ya dunia kwa kukumbatia mti zaidi ya masaa 72
Mwanaharakati wa mazingira Truphena Muthoni amevunja rekodi ya dunia kwa kukumbatia mti zaidi ya masaa 72(siku tatu) mfululizo bila kula wala kunywa
Kwa rekodi hiyo mpya mwanaharakati huyo amejishindia pesa zaidi ya milioni 1 ya Kenyapamoja na zawadi mbalimbali zenye thamani ya mamilioni
Pia anatarajiwa kutambuliwa rasmi na kuingizwa kwenye kitabu cha kumbukumbu za maajabu duniani (World Guinness Records).

