Rais Emmerson Mnangagwa Wa Zimbabwe Ametangazwa Mshindi Uchaguzi Wa Rais Wa Agosti 23

Share this story

Mnangagwa ameshinda kwa kura asilimia 52.6 dhidi ya mpinzani wake Nelson Chamisa aliyepata asilimia 44. Matokeo hayo ya Uchaguzi mkuu nchini humo yametangazwa usiku wa kuamkia leo Jumapili Agosti 27, 2023.

Rais Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe ameshinda uchaguzi wa Rais wa Agosti 23 kwa kura 2,350, 711, ambayo ni sawa na 52.6% ya kura zote zilizopigwa, huku Nelson Chamisa wa CCC akipata kura 1,967,343.

2,357,711 Emmerson Mnangagwa

1,967,343 Nelson Chamisa

6,619,691 Wapiga Kura Waliojiandikisha

4,561,221 Jumla ya Kura zilizopigwa

4,468,668 Jumla ya Kura zilizopigwa

68.9 Asilimia ya Waliojitokeza

92,553 Kura Zilizoharibika


Share this story

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Previous post Mwatate United FC captain Brian Mandela joins AFC Leopards SC
Next post Mary Moraa wins Gold in Women’s 800m in World athletics championship in Budapest