Mtangazaji Kai Almarufu Kama Presenter Kai, Amefunga Pingu Za Maisha Na Mpenzi Wake Wa Muda Mrefu Diana Yegon
Harusi ya mtangazaji Kai iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu sana ilifanyika leo Kitsoeni Chonyi.
Presenter Kai na dada Diana Yegon wamefunga harusi leo ikihudhuriwa na viongozi mbalimbali wa County ya Kilifi na Taifa zima kwa jumla.

