Jamhuri ya Uganda imechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC)

Share this story

Jamhuri ya Uganda imechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), ikichukua nafasi hiyo baada ya Jamhuri ya Kenya kumaliza muda wake.

Ikichukua wadhifa huo kutoka kwa Jamhuri ya Kenya. Mabadiliko haya yamefanyika kufuatia Mkutano wa 25 wa Kawaida wa Wakuu wa Nchi Wanachama, ambapo agenda muhimu kama ushirikiano wa kikanda, miundombinu, na biashara zilijadiliwa.


Share this story

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Previous post Arsenal imenyakuwa tuzo nne za wachezaji bora kwenye tuzo za jiji la London
Next post HAKUTAKUWA NA MAZUNGUMZO TENA, IRAN IJISALIMISHE YENYEWE