Dkt.Hussein Ali Mwinyi ashinda tena Urais Zanzibar kwa asimilia 74.8 ya kura zote halali

Share this story

Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) imemtangaza Dkt. Hussein Ali Mwinyi kuwa mshindi wa nafasi ya Rais wa Zanzibar katika uchaguzi mkuu uliofanyika tarehe 29 Oktoba 2025.

Mwinyi ambaye aliwania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), amepata kura 448,892, sawa na asilimia 74.8, akimshinda mpinzani wake wa karibu Othman Masoud Othman wa ACT-Wazalendo, aliyepata kura 139,399 sawa na asilimia 23.2.

Ushindi huo unampa fursa Dkt. Mwinyi kuendelea na muhula wake wa pili kama Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.


Share this story

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Previous post 12 feared Dead after a Plain crashed shortly after takeoff from Diani, Kwale
Next post Suluhu ndiye suluhu ya Tanzania